Friday, December 16, 2011

Mnayotutangazia

Nahoji hayo mnayotutangazaia
Hivi uhakika wake mnaujua
Au wambeya kati mnaingilia,
Mwarusha nusunusu mliyosikia?
Kidomodomo kitakujawaumbua
Tena msijejua pakuangalia.

Tungo mpya 2011
Aina: Refusita
© 2011 Sammy Makilla

No comments: