Friday, December 16, 2011

Anayekuganda

Anayekupenda
Ukute wawanda
Pato hujavunda
Mpe mabumunda,
Hapo hukuganda,
Hugeuka nunda,
Ukikosa kanda,
Ukawa kidonda,
Wanuka mkwanda.

Tungo mpya 2011
Aina: Zasita
© 2011 Sammy Makilla

No comments: