Friday, December 16, 2011

Huu ni mrabakumi

Waelezeni wasiojua
Mnay0jua wakayajua
Kama ninavyowaandikia
Ushairi msioujua
Mrabakumi ninatumia
Na ndilo jina lake jipya
Mizani ninazozitumia
Kila mstari kumi hua
Kadhalika mistari pia
ni kenda imeamuliwa.

Tungo mpya 2011
Aina: Mrabakumi
© 2011 Sammy Makilla

No comments: