Friday, December 23, 2011

Uamuzi

Fikiria
Na tulia
Soma dua
Kujijua
Lingania
Kweli jua
Usojua
Kufichua
Kisha kaa
Soma dua
Kurudia
Na amua!

Tungo mpya 2011
Aina: Nnenne
© 2011 Sammy Makilla

No comments: