Friday, December 23, 2011

Akili sio elimu

Akili mwana sio kuelimika
Diploma au shahada kushika
Akili mwanangu ni kuhangaika
Ukaja kimaisha kukubalika.

Tungo mpya 2011
Aina: Dazenia
© 2011 Sammy Makilla

No comments: