Friday, December 16, 2011

Rehema

Rehema
neema
ya mama
daima
uzima
heshima
kuchuma
huruma
kukama
wazima
wanyama
hekima
ni mema.

Tungo mpya 2011
Aina: Tatutatu
© 2011 Sammy Makilla

No comments: