Tuesday, June 12, 2012

Asije karibu yangu





Asije karibu yangu, ajijuaye mnafiki,
Asiye na  rai yangu, aabudu umiliki,
Huyo si rafiki yangu, na ya kwake siyataki,
Ajijuaye mnafiki, asije karibu yangu !

No comments: