Sunday, March 11, 2012

Vyema nichukie wewe


Hili nimeliridhia, mengine nayakataa,
Ruksa kunichukia, Mola kunihurumia,
Shiriki kuikataa, mmoja kutangazia,
Vyema nichukie wewe, asinichukie Mungu!

No comments: